LONGHORN KUSOMA NA KUANDIKA GRADE 1

KSh449

Kusoma na kuandika katika Kiswahili, Gredi 1 ni kimoja miongoni mwa vitabu vipya
vilivyoandikwa kwa kuzingatia mtaala mpya unaokuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa utendaji na uvumbuzi wa maarifa.
Kitabu hiki kinawawezesha wanafunzi kupata maarifa ya kimsingi,
stadi zifaazo za kusoma na kuandika, mienendo miema na maadili ya kimaisha
pamoja na utumizi kamili wa maarifa wanayoyapata darasani.
Shughuli na mazoezi katika kitabu hiki zimejikita kwenye uzoefu wa wanafunzi wa kila siku
pamoja na masuala ya kisasa na ibuka kama yalivyofafanuliwa kwenye mtaala mpya.

Supplier/Publisher info

Longhorn publishers

Product code / isbn number

91410006

Customer Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “LONGHORN KUSOMA NA KUANDIKA GRADE 1”

Your email address will not be published. Required fields are marked *