Kamusi Angaza kwa Shule za Msingi ni zao la utafiti wa kina uliofanywa na mwandishi na wanaleksikografia. Kamusi hii imetungwa kwa utaalamu mkuu na kwa kuzingatia msomaji lengwa. Miongoni mwa sifa za kamusi hii zinazodhihirisha upekee wake ni:
- zaidi ya vidahizo 7,000
- takriban maneno 170,000
- ngeli zimebainishwa ifaavyo
- mifano ya sentensi kwa Kiswahili sanifu
- picha za kuvutia msomaji
- kiambatisho kinachojumuisha picha za wanyama, maumbo, rangi na aina nyingi za ndege.
Be the first to review “KAMUSI ANGAZA KWA SHULE ZA MSINGI”