NYOTA YA KISWAHILI GRADE 1

KSh348

Kitabu hiki kimedhamiriwa kutumika kama mfululizo wa vitabu vya ziada kwa Gredi ya Kwanza. Kimeandikwa kuambatana na mtalaa mpya. Kitabu hiki kimelenga kumwongoza mwanafunzi katika masomo yake ya lugha ya Kiswahili kwa kutimiza rnaarubu ya mtalaa wa kiwango husika. Ndani yake mna mbinu bora za ujifunzaji ambazo zitawaelekeza wanafunzi kuhusu njia bora za kutimiza malengo yao.

Supplier/Publisher info

Jomo Kenyatta Foundation

Product code / isbn number

91410008

Customer Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “NYOTA YA KISWAHILI GRADE 1”

Your email address will not be published. Required fields are marked *